NJIA SALAMA YA KUTUNZA KUMBUKUMBU ZA MAUZO KATIKA BIASHARA
Wamiliki wengi wa maduka ya kuuza simu bado wanapata changamoto kubwa katika namna ya kusimamia biashara zao, hii ni kutokana kuwa, mpaka sasa bado wanatumia njia za kizamani za kutunza kumbukumbu za manunuzi na mauzo yao, ambapo inapelekea kuwa na madaftari mengi na kupata ugumu katika kufahamu faida inayopatikana kwenye biashara.
Uwepo wa App ya SkyMkoba umeweza kutatua changamoto hii kwa kiwango kikubwa, kwani App hii ni rahisi kutumia, haihitaji bando, inakupa uhakika wa kuwa na taarifa sahihi muda wowote na kufahamu faida ya biashara kwa urahisi. Pia inakuwezesha kuwaunganisha wafanyakazi wako ili wanapoweka taarifa za mauzo, nawe unazipata kupitia simu yako bila kupoteza muda wa kwenda dukani. Anza sasa kufurahia ulimwengu wa kidigitali na SkyMkoba App.
Mfano wa taarifa ambazo unaweza kuziweka kwenye App ya SkyMkoba
-
Manunuzi ya mzigo mpya
-
Gharama za usafiri
-
Gharama za kodi
-
Mauzo ya simu za aina tofauti tofauti zilizouzwa dukani (Tecno W4, iPhone 6, Itel, Samsung Galaxy
Kuanza kutumia Pakua App katika Play Store kwa kutafuta neno SkyMkoba au unaweza kubofya link hii https://play.google.com/store/apps/details?id=com.a2daysky.wallet&hl=en, kwa watumiaji wa compyuta tembelea tovuti ya https://skymkoba.com
Msaada zaidi wasiliana na watoa huduma wetu makini watakusaidia, tupo kukuhakikishia unapata huduma bora. 0693 157 655